Nguvu kutoka juu inawasambaratisha wenyeviti wa kamati za bunge. Bunge sasa ni joka la kibisa

Jiwe ndiye
1) Spika
2)Jaji Mkuu. (anagalia kesi ya Mbowe &co
Hapangiwi haelekezwi na ni mwenye visasi visivyo na ukomo
 
Sasa hapo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kajiuzulu ina uhusiano gani Na Serikal?

Bibi Titi Mohamed ndio Mwanamke pekee wa enzi hizo alikuwa Na uwezo wa kumwambia Mwl Nyerere hapo umekosea Mwalimu!

Kuna Siku aliwahi kusema kwenye Kikao Kuwa Yeye anamuogopa Mungu Pekee akalazimishwa kuomba Radhi Kwa Kauli hiyo akakataa akasema yupo tayari Kwa lolote

Hawa anafanana Sana Na Bibi Titi japo wana utofauti kidogo
Bibi titi ni mpango mkakati wa nyerere! Acheni kudanganya watu. Bosheni fiksi ionekane nyerere anapingwa!!!
 
Back
Top Bottom