Je, unajua umuhimu wa mwamvuli kwenye kutangaza brand yako?

munah12

New Member
Feb 9, 2018
2
0
Je, unajua umuhimu wa mwamvuli kwenye kutangaza brand yako? Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako. Bidhaa hizi za matangazo inavutia attention kwa watu.

BRAND au ujumbe wako utawafikia watu wengi zaidi kwa usaidizi wa miavuli ya utangazaji mana watu watatamani kujua kumeandikwa nini kwenye mwamvuli. faida ya mwamvuli kwenye ku brand biashara yako au kampuni yako.

1: Tengeneza mwavuli unaozungumza maneno kuhusu kampuni yako kwa kubinafsisha mpango wako wa rangi, muundo na mtindo. Hii itakuza brand colour yako kwenye macho ya watu.

2: Kuongezeka kwa Mwonekano wa Biashara Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako.

3: Inabebeka: kwa msimu wowote ule wa jua au mvua unaweza kubeba na kutoka nao sehemu yeyote ile kiurahisi na kuifanya kuwa zana bora kwa matukio ya matangazo yako.Munah design & printing tuna print miavuli kutokana na logo ya mteja au maneno utayotaka


IMG_7790.jpg

IMG_7789.jpg
 

Attachments

  • IMG_7790.jpg
    IMG_7790.jpg
    114.4 KB · Views: 1
  • IMG_7789.jpg
    IMG_7789.jpg
    73.3 KB · Views: 2
  • IMG_7787.jpg
    IMG_7787.jpg
    67.4 KB · Views: 2
Nafikiri hapa lengo lako kuu lilikuwa ni kutangaza biashara yakolakini I have seen nowhere you have provide us with your contact information, so how do we get in touch with you munah12
 
Sawa, na pia unaweza kutangaza huduma unazotoa kwa wajasiriamali wengi zaidi.

Maana logo ni za wajasiriamali, mwenye duka la mangi sidhani kama atakuwa na logo.

Lakini je umewaza kuwatafuta na kuwapigia simu wajasiriamali ili kuwashirikisha biashara yako hiyo? Basi humu kuna link za kuwapata wajasiriamali woooote waliosajiliwa Tanzania. Karibu
 

Attachments

  • Jarida la wajasiriamali na biashara zao Sahili Marketplace Network (Toleo 1)_compressed.pdf
    1.7 MB · Views: 0
Back
Top Bottom