Jitangaze na kukuza biashara yako kwa huduma za Graphics design

The Butcher

JF-Expert Member
May 24, 2015
347
490
Salaaam Wakuu. Kheri ya mwaka mpya 2023. Natumaini wote mmeitumia vizuri likizo hii mkiwa na familia zenu na wale muwapendao.

Ikiwa ni mwanzo wa mwaka wa kikazi 2023 nawasogezea hii kwa kutambua umuhimu wake katika ulimwengu wa sasa wa digitali.

Biashara yako inahitaji itangazwe na matangazo yanahitaji yavutie ili watu waweze ku engage nawe katika mtatizo utakayo saidia kuwatatulia (first impression)

Ninahudumia wafanyabiashara na makampuni katika kukuza bishara zao kwa kutumia huduma za aGraphic Design.

Huduma zangu.

  • Branding business and Offices
  • Brand identity Design
  • Flyers and Posters
  • Business Cards
  • Calendars
  • Vikombe
  • Tshirts na Form 6 design zilizo na logo
  • Website Design
  • Letter heads
  • Invoices and Receipt books
  • Sticker na label za bidhaa
  • Picga na michoro ya Ukutani

Ni zaidi ya hizo kama utakua na kitu unaweza niambia tuongee namna ya kulifikia.
Branding.jpg
 
Back
Top Bottom