mommythebest
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 516
- 617
Tatizo lenu mbonaga nguruwe tuu ndo najisi, ila vitu vingine kama kwichikwichi hamuonagi unajisi wake. Tutoleeni unafiki wenu. Kama mnaishi kwa maandika ya kina Mussa oeni wake wengi, ueni wanawake wachawi, tendeni dhambi then mkatoe sadaka ya kuchinja kwa makuhani... Acheni kupotosha em..Jamanii nguruweee ni haram kuliwa dini zote mbili zinafundisha ivyoooo[emoji35] [emoji35]