Nguruwe wanauzwa

Nguruwe wanauzwa

Utakuja kushangaa kugundua kuwa hata hao waandishi wa hivyo vitabu nao pengine walikuwa wadau wakubwa wa huyu mnyama. Who knows?
Kuna watu ni fuata upepo tu
Kila kilicjosndikwa kwao ni sasa tu nahisi ht ingeandikwa nyama ya kuku ni haramu wadingekula
Imani hupumbaza watu
 
Shimba achana na nguruwe utatengeneza pesa but kaa ukijua sheria ya mungu iko pale pale unless you blind your soul on Gods Commandments
Kama wewe ni Prof kweli nakutegemea utoe hoja kiprof na kwa kufuata misingi ya logic bila mihemko. Kuna sheria zaidi ya 5,000 za Musa na Mafarisayo na Masadukayo walikuwa wamebobea katika sheria hizi. Yesu mara nyingi Aliwakemea sana hasa Alipogundua kwamba walikuwa wakizifuata sheria hizo huku wamefumba macho (mf. Alipomponya mtu siku ya Sabato na kumwamru ajitwishe godoro lake aende).

Mimi naamini kuwa zile sheria 10 za Mungu zinasimama (japo napo kuzishika tu bila neema ya Mungu hazitufikishi mbinguni) lakini hizi sheria za wahafidhina wa Wayahudi ya kale za kutokula nguruwe, wanyama wasiocheua, nyamafu, samaki wasio na magamba na zingine maelfu hazina uzito wo wote na ukiamua kuzifuata zifuate (kama Wasabato wanavyojaribu kufanya japo nao wanachagua hichi na kuacha kile), lakini hazikupi utakatifu wala moral authority ya kujiona wewe ni bora kiimani ama la na actually yaweza kuwa ni kinyume chake.

Hakuna mtu atakayekwenda motoni kwa kula kitimoto, samaki asiye na magamba (mf. kambale), mnyama asiyecheua, nyamafu...Prof....
 
Kijana Umesoma vizuri ethics?
 
Pole sana! Povu lote hilo sababu ya nguruwe?? Mungu amekupa vingapi vilivyo halali? Kwa jina lako hapo juu ongezea pale mbele "MLYAJOSE" (ie Mla chochote) itakufaa zaidi
 
Povu liko wapi mkuu? Hujaona hoja yangu ya msingi katika post yangu? Waacheni wala nguruwe wale na nyinyi msiokula hamna moral authority yo yote, utakatifu wala wema wo wote kisa tu eti hamli nguruwe. Ukisoma vizuri post yangu hapo juu utanielewa lakini ukisoma kwa lengo la kutafuta povu bila shaka nalo utalipata. Vitabu vitano vya Musa vina sheria zaidi ya 5000. Mtazifuata zote? Kwa nini mnachukua moja na kuacha zingine? Mnatumia vigezo gani? Na ni nani mwenye mamlaka ya kupitisha vigezo hivyo?

Na kweli mimi ni Mlyajose (Asante kwa jina hili zuri!). Kama hakinidhuru bila shaka hicho ni halali japo nguruwe alishanishinda kwa sababu ya mafuta lakini sina ugomvi na wanaomla. Ni hayo tu ewe Mtakatifu usiyekula nguruwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom