kajani1990
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 225
- 101
full kitumotoooo
Dogo, I am listening. Funguka tu nakusikiliza. I can stand my ground...Kijana Umesoma vizuri ethics?
Hahaaa mkuu nawewe unaviuza hivi??
Lakini kambale unakula!!.Vitabu vimekataza kula huyu mnyama jamani!
Mkuuu acha hawa nawafuga niliamua kujiongeza kidgo changamoto za maisha nikaona nitafute ka mradi kangu sema nime wapata kwa bei nafuuu sana nime w chukua lugalo kimoja elfu 25Hahaaa mkuu nawewe unaviuza hivi??
Laanatu llahTunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Tupo Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza. Bei ni nafuu sana, kama huna usafiri tunakuletea wenyewe (utalipia gharama kidogo za usafiri baada ya kupata mzigo wako).
Njoo PM kwa anayehitaji. Biashara ni endelevu
View attachment 487448 View attachment 487449
imekujaje hapa tafadhali. usije kutuitia majini tu lugha zenu za ajabu.Astaghafillular radhim
Sikumbuki kifungu ila agano jipya wameruhusu huyu kiumbe kuliwa!!Shimba achana na nguruwe utatengeneza pesa but kaa ukijua sheria ya mungu iko pale pale unless you blind your soul on Gods Commandments
Kwani nani amekuuliza kama ni haramu au sio?? Unataka kununua au hutaki??hao wanyama ni haramu sabab wanafanyana kinyume na maumbile
kwan we huoni hapo wanavyo fanyana angalia vizur..wee mnyama ukitaka kumchinja mpaka umpige rungu..ndio maana vitab vilisema ni haramuKwani nani amekuuliza kama ni haramu au sio?? Unataka kununua au hutaki??
Sijaona sehemu alipo andika ni lazima ununue mkuu...Kwa hicho nilichoona wanakifanya sitawanunua hao nguruwe.
pita mbali Mkuu kama inakukeraVitabu vimekataza kula huyu mnyama jamani!