Habari zenu wana JF, Nimekuja naomba mnisaidie maana ya msemo ufuatao: Kuna sehemu nilikuwa nikipita mama mmoja alikuwa anapenda kuniimbia wimbo huu Nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu sijakuzaa mie, Naombeni ufafanuzi maneno haya yana maana gani?