Haya, turudi kwenye topic, vipi, hawa wanapatikana huko ulipo???Wacha weee Unautafuta sana wapi na kwenye Nini? MAneno ya Mungu na ya Malaika wafuata yepi? na huyo Paulo kazi yake ilikuwa ni kuandika walaka yaani Barua story zake msichanganye na Nabii Musa kwenye Torati hata Yesu alisema hakuja kuitengua kama vipi katafute kitabu cha Barnaba yule Mwizi alieachiwa huru ili yesu asulubiwe kitabu chake kiliondolewa kwenye orodha ya vitabu vya biblia
Haya, turudi kwenye topic, vipi, hawa wanapatikana huko ulipo???
au wazee wa Vitalu wameshawachakachua wameisha??
Pemba wapo hawa??
Nyara ya taifa hii!!!
Hivi ngiri naye ni haramu?Huyu si nguruwe ni mnyama pori aitwaye ngiri, kwa umbile anafanana kidogo na nguruwe...
Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama si rasilimali kama wanyama wengine?
Hivi ngiri naye ni haramu?
Hii italisha kijiji kizima.
hao jamaa watamu kuliko hawa tunaouziwa mjini tena hawana mafuta sana kama wa kufugwa
Dah,pole sana mkuu! Ni kweli uwe makini hiyo ni nyara ya serikali.mkuu, hawa machalii wapo kibao tu mtaani..........hapa kati Ruvu tu wapo kibao.
vijana wanawakamataga kwenye shamba langu wananiletea mboga!!!
ila ni nyara ya taifa mkuu, siku moja kijana alikamatwa na polisi wa pale kibaha!!
duh! zilinitoka na mboga wakaichukua!!! iliniuma!
Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama si rasilimali kama wanyama wengine?
Huyu si nguruwe ni mnyama pori aitwaye ngiri, kwa umbile anafanana kidogo na nguruwe ila wanatofautiana kwa kiasi kutokana na ngiri meno yake kuwa kama pembe na nguruwe meno yake hayarefuki sana kama ngiri.
Akiiva huwa hivi......