Ngurumo avuruga ziara ya Slaa Kagera!

acha ujinga-mi si mwandishi natoa taarifa hapa,kama nimekosea sory lakini tunafanya hivyo ili tatizo liwe solved mapema,nyie vip lakini

Hili jamaa vipi? Mbona halieleweki? Angalia Avatar yake ndo utatambua huyu ni wa aina gani!!!!!
 
Naomba msimshambulie mtoa habari. Yeye amefikisha taarifa. Matumizi ya taarifa yanabaki kwa wadau. Yawezekana wewe usione maana ya taarifa hii lakini ikawa na maana kubwa sana ndani yake. Naomba cdm wasibweteke. Habari inajenga na kudestroy in a minute. Angalia JK 2005 alivyo invest kwa waandishi ili kupumbaza umma. CCM wanajua nguvu ya habari. Wanaweza kutumia tasnnia hii kukimaliza CDM. Na kama ccm wataweza kuzuia waandishi wenye mtazamo chanya na cdm kucover mikutano yake, badala yake wakapeleka waandishi wao watakao tangaza cdm in favor of ccm hata kama ni uwongo, ni dhahiri watakuwa wamefanikiwa.

Usidharau taarifa. Kwa kawaida huwa hakuna upuuzi mtupu!.
 
ina maana unaposema tusitegemee habari zozote kupatiakana ina maana hata chombo anachokifanyia kazi Ngurumo nacho hakitatoa habari ? huyu ameingia JF kimakosa
 
acha ujinga-mi si mwandishi natoa taarifa hapa,kama nimekosea sory lakini tunafanya hivyo ili tatizo liwe solved mapema,nyie vip lakini

Kama lengo ni kutoa taarifa tu mbona unjibu kwa hasira?!!!!!!!!
 
Hili jamaa vipi? Mbona halieleweki? Angalia Avatar yake ndo utatambua huyu ni wa aina gani!!!!!

Mungu wangu!!!!!nilikuwa sijaangalia Avatar yake,thats why..............!!!! siumizi kichwa tena kumuuliza kitu.
 
Back
Top Bottom