Nguo zenye rangi ya Jeshi

Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Ndio maana ukawa muuza madafu hukuwa mjeda
 
Achaa akili za kiloko kama za police wa zamani walikua hawataki tupaki gari zetu aina ya BMW karibu na Bank, kisa tu zinakimbia sana,na wahalifu wanazitumia kuibia ma Bank! Suburini mpaka hapo Mtu atakapofanya uhalifu ndiyo umchukulie hatua!!
Damu iliyomwagika inarudije kinga ni bora
 

Mkuu huyo mdada alivyovuliwa akabaki na chupi?
 
uyo mjeda mshamba tu binafsi ninayo kofia ya combat navimbia usiku kwa sababu ya mambo kama haya
 
Je nguo za watoto wa mwaka mmoja au miwili au mitatu nazo ni haramu?
 
Huyo askari,mjinga tu, akipigwa,aanze kulaumu vijana kupata mafunzo ya JKT na kukosa ajira.Mjinga sana.
 
Ili watest mitambo!?
 
Mkuu ni rangi ngapi ambazo ni marufuku haturuhusiwi kuvaa sisi raia?

Maana ninavyojua rangi ambazo huvaliwa katika sare za majeshi yetu ni nyingi sana.

Kuna nyeupe, nyeusi, nyekundu, njano, kijani, light blue, light green, ugoro, kijivu nk nk, yaani ni yingi mno na ndiyo hizo rangi za vitambaa vya suti zimejaa madukani!

Kwa mfano mimi napenda kutinga suruali ya kitambaa ya polyster jeupe lisilokuwa na madoa, kwa hiyo Traffic Police akiniona apite na mimi?

Karibia rangi zote nilizozitaja, suruali zake ninazo kwa hiyo nikaziteketeze?!

Basi angalao tuwekeeni vifungu vya sheria vinavyotoa haki miliki kwenu ninyi wanajeshi kuhodhi rangi hizo.

Maana isije kuwa ni vita vya kibiashara ambayo mnaipigana bila kujua.

Kuna kodi ya Serikali katika biashara ya nguo ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…