Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Habari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana[emoji144]
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Mkuu ikulu mbali,hata kwenye vituo vya mwendokasi wanakamata watu wanaopiga picha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Huku wanasheria nyingi za hovyo ni kwasababu wanajihisi wapo insecure.
Kuna jamaa nilimuona pale feli akijipiga selfie, kumbe kulikuwa na mjeshi yuko juu ya mti anaangalia watu.
Yule mjeshi akashuka akamuita yule jamaa akampigisha magoti mbele za watu, mjeshi akawa anasikika akisema "kwanini unapiga picha kwenye maeneo ya ikulu"
Jamaa kwa upole akajibu "samahani najua ikulu ipo kule juu sikujua kuwa hadi huku haturuhusiwi kupiga picha"
Mjeshi akachukua simu ya jamaa akafuta zile picha akamrejeshea, baada ya pale nikamuona yuke mjeshi anaenda kupanda juu ya mti tena kwa ajili ya kuchunguza watu.
Nilishangaa sana nikajiuliza maswali mengi, mbona kina Maulid Kitenge wanaenda hafi kwenye vibaraza vya ikulu ya Marekani na kupiga picha?
Na kuna muda unakuta anafanya mahojiano na wadau waliopo eneo hilo la ikulu na hakuna tatizo?
Sisi tumeficha nini pale ikulu kiasi kwamba kuwe na sheria ngumu hivyo?
Askari yeyote aliyehudhuria mafunzo ya kijeshi na kufuzu hutenda jambo lolote kwa amri, kinyume cha hapo ni utovu wa nidhamu ya kijeshi na huadhibiwa kijeshi kupitia MPs.Habari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana[emoji144]
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Unauliza na adhabu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sheria ipo na adhabu zake zipoKuna kifungu Cha sheria ambacho specific kimekataza??na Kama kipo adhabu zake zikoje iwekwe wazi
Kwann uvae mavazi ya mfano wa uchungaji Hali wewe sioUnachanganya kuvaa sare ya jeshi na kuvaa nguo zenye rangi rangi kuvaa kofia au pensi wala suruali bado sio sare ya jeshi mkuu uwezi vaa kofia ya rangi ya jeshi na raia waseme ni mwanajeshi itakua wendawazimu
Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Acha ufala,unamtoa mtu nguo yenyewe ni mtumba kisa sifa tu.Unavaa za nn ??? Mambo mengine mnajitafutia matatizo tu
Awatakiwi wasio raia kuyavaa sababu wengine wanafanyia uhalifu
Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.
Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu
Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi
Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
Ukiona mtu anaanza sentensi na neno " Mbona" ujue ana tatizo kubwa kwenye ubongo wake ( defect in reasoning) na yeye hajijui. Changamoto za kiulinzi za Kila nchi zinatofaitiana. Sheria za nchi zinatofaitiana. Tanzania tumepakana na nchi nyingi zenye political instability.mbona nchi nyengine wanavaa na hakuna shida? Wabongo bano tuishi 60's
Nakazia[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kimsingi sio kudai kitambulisho tu,bali ni kumdai kitambulisho cha Askari jeshi yani MP,ndio mwenye mamlaka chini ya kifungu cha sheria kumkata mtu yoyote hata akikuhisi tu kuwa unaweza leta shida yoyote..Mwanajeshi kama sio Askari Jeshi (MP) huyo hana mamlaka ya kukamata
Hawana ushamba wa kuzitumia kwenye uhalifumbona nchi nyengine wanavaa? tuache mambo ya kishamba
Majeshi karibia yote duniani nguo zao zinafanana, zinatofaitiana tu kwenye maichorl ya mabaka ila zote kwa mbali zinaonekana kama zinafanana. Nyingi za za nchi kavu huwa na mabaka ya kijani, kwa nchi za jangwani ndio huwa na rangi kama ya maziwa.
Lengo la sheria ya kuthibiti raia kuvaa Mavazi ya Jeshi au yanayofanana na majeshi yetu ni kuepuka abuse ambapo mtu anaweza kujitambulisha kwa raia WASIOELEWA kuwa ni askari na kufanya uhalifu. Pili ni kuepuka abuse ya nguo hizo kwani hata uvaaji wake una mafunzo yake.
Huku wanasheria nyingi za hovyo ni kwasababu wanajihisi wapo insecure.