Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,775
Kuna mdada mmoja alikutwa mtaani kavaa kipedo chenye rangi za kombati za jeshi wakamvua kibabe. Askari magereza nao waliwahi kuleta za kuleta kwa makonda wa daladala wakidai wamewaiga sare zao. Polisi nao waliwahi kuliamsha dude wakipiga mkwara sare zao zisivaliwe na raia hata kwenye sanaa
Ni ujinga tu mkuu si unajua hawa wa vyeo vya chumvi hata shule ni zile za super glue pana dogo mmoja yeye ni shule na yeye yeye na shule za kijeshi ukimwambia hizo mambo anacheka anakwambia mambo za JKT hizo vijana wetu hakuna mjeda anaeweza kufanya hivyo...Tatuzo makuruta mnahasira sana mbona maofisa wenu hawana habari au ugumu wa maisha mkuu Yani uachane na ratiba zako uanze kugombana na watu?
Ni ushamba, ulimbukeni na ushamba tu hakuna kingineHabari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Dogo nilikusamehe halafu umekuja kuninanga hapa jeiefu. Ningejua ningekufyatua tuHabari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Nikupigie picha kwangu nawe upige kwako au umekariri kama ndugu zako hao la saba na form four!!?Wewe bado mtoto unakaa home hutanielewa
Nawapendaga wajeda njaa kama wewe niwadhalilishe kwa kipondo hevi maana najua medal akiwa mwenyewe huwa Ana maajabu ndio maana mjeda akitandikwa anakimbilia kambini kwao kuomba msaada wa wenzie.Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Awatakiwi wasio raia kuyavaa sababu wengine wanafanyia uhalifu
Ni kinyume na sheria, ushamba na ulimbukeni kwa anayefanya hivyoKatika umri wangu huu nimeshuhudia sana askari magereza, Polisi, uhamiaji, zimamoto wanapenda sana kuvaa nguo zenye rangi za JWTZ wakiwa nje ya majukumu, ila sijawahi kuwaona wakiwa nje ya kazi wamevaa nguo zinazofanana na mgambo, JK hata za zile magereza hivi kwa nini wakivaa za JWTZ wanajiona superior?
Habari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Majeshi karibia yote duniani nguo zao zinafanana, zinatofaitiana tu kwenye maichorl ya mabaka ila zote kwa mbali zinaonekana kama zinafanana. Nyingi za za nchi kavu huwa na mabaka ya kijani, kwa nchi za jangwani ndio huwa na rangi kama ya maziwa.Kama zinafana na jeshi la kolombia
Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Mno, naaachukia mno hawa watu, nashangaaaa sana wano jipendekeza kwako, nawachukia sanaWajeda wa TZ wanapenda sana sifa hasa mbele za watu, ampe za chembe tu hakuna kingine.
Zinauzwa mitaa za nini?
Si zingeuzwa jeshini huko ambako ndio wavaaji maalumu walipo?
Kama nguo za jeshi ni biashara ya magendo basi iwekee wazi watu wajue hata wakiwa huko china wasijisumbue kununua nguo hizo.
Huku wanasheria nyingi za hovyo ni kwasababu wanajihisi wapo insecure.Kabisa ,ni huku bara la giza ndiyo wana mawazo migando ,yaani kigezo chao eti mtu akivaa nguo zinazofanana na jeshi eti akifanya uhalifu atalichafua jeshi mbona wanajeshi wanafanya mambo ya ajabu kitaani,jana msoja kapandishwa kwa pilato kwa kuhujumu miundombinu ya tehama ,kuna komandoo aliua kisa raia alimtongoza demu wake ,kuna msoja mwingine alienda kunyang'anya TV kisa simu.
Uhalifu hauhusiani na mavazi ,mtu akitaka kufanya uhalifu anafanya tu bila kuvaa mavazi hayo ,US kitaani raia wanavaa hayo mavazi bila kuwa na shida yeyote.