Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Kwa niaba ya mkeo mtarajiwa[emoji119]Wadau habar za usku.?
Ndg zang tuwasaidie wadada kutupia picha mbalimbali za magauni mazuri ya sendoff rangi mbalimbali maana kiukweli wanateseka sana kuhangaika mjini kutafuta maguni au vitambaa vya kushona magauni ya sendoff.
Yupo mdada ameshindwa kupata gauni lake LA sendoff wiki ya pili hii anazunguka mjini kabakisha wiki tatu sendoff yke asaidiwe lkn pia mwingne kesho anataka atembee maduka yote mjini atafute gauni au kitambaa kwahyo tuwasaidie wasipate pressure buree hpa.
Comment kwa picha ya gauni la sendoff au Kitambaa Konki kwaajili ya Sendoff.
Naamini yupo atakayeshukuru hii post wallah tena wanasumbuka hawa watu acha tu. [emoji23]
Na wale flat skrini watavaaje hizi!?
Kwa niaba ya mkeo mtarajiwa[emoji119]
Hatuwezi kuacha kuhangaika kwasababu kila mtu kwenye siku yake hiyo anataka "u-yuniki" au exceptional kiasi kwamba wengine badala ya kuvutia wana nyata wanakuwa kama wamevaa parachuti[emoji23] "kuchamba kwingi" huko...me sina picha ila labda nisahuri tuu tusihahe sana jomonii rangi ni zile zile,muhimu ni kujua unataka nini ili upendeze kutokana na jinsi ulivyo...
Tupia ile picha ya send off yako[emoji12]Hatuwezi kuacha kuhangaika kwasababu kila mtu kwenye siku yake hiyo anataka "u-yuniki" au exceptional kiasi kwamba wengine badala ya kuvutia wana nyata wanakuwa kama wamevaa parachuti[emoji23] "kuchamba kwingi" huko...me sina picha ila labda nisahuri tuu tusihahe sana jomonii rangi ni zile zile,muhimu ni kujua unataka nini ili upendeze kutokana na jinsi ulivyo...
Na wale flat skrini watavaaje hizi!?
Anajaradia siku hiyo.
Cheee😝😝😝Tupia ile picha ya send off yako[emoji12]
Hutaki? Maza konfesa!!Cheee[emoji13][emoji13][emoji13]
Gauni la mwaka 47 si mtanicheka humu mpaka nipate kiharusi baridi😃Hutaki? Maza konfesa!!
.. wanatafuta ekspiriensi maza konfesa!!Gauni la mwaka 47 si mtanicheka humu mpaka nipate kiharusi baridi[emoji2]
Tupia yako hapa, ninayo ujuwe[emoji12]Mna kazi kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupia yako hapa, ninayo ujuwe[emoji12]