Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Angeweka bei nimnunulie shemeji yako
Kwani wewe hapa una jaza maji au?
Kwani wewe hapa una jaza maji au?
Mpaka mda huuMimi nna place order nahitaji gauni alilovaa huyo dada pichani na yeye mwenyewe
Wapare mna swaga sana aseAngeweka bei nimnunulie shemeji yako
We fisi maji mi sio mpare, umelipwa unipareshe?Wapare mna swaga sana ase
thriftwaika changamka pande hizi mbaba afanye Jambo!Unakuwa umetisha mwambie muuzaji aweke lipa namba
Ila ni kawaida yenu mna hasira kama wasomaliWe fisi maji mi sio mpare, umelipwa unipareshe?
Kazubaa sanathriftwaika changamka pande hizi mbaba afanye Jambo!
Hawezi🤣Nitamtag aje akununulie nguo
Mie sina hata mia.Mmeshamuungisha nguo au kazi kujaza komenti tu?
Mchagulie wifi yako basiMie sina hata mia.
Bora nijaze comment, uzi uwe juu, uonwe na wengi zaidi
Nani anaweza?Hawezi🤣
Muungishe mkuu kwa kununua nguo acha mboyoyoIla ni kawaida yenu mna hasira kama wasomali
Umekula leo laknMuungishe mkuu kwa kununua nguo acha mboyoyo
si hujapika ningekula wapiUmekula leo lakn
Kumbe wewe akili huna? Utapigika vibayasi hujapika ningekula wapi
Size gani?Mchagulie wifi yako basi
🤣🤣🤣🤣si hujapika ningekula wapi
Nimelia sana😭Nani anaweza?
We mtaje tu anaeweza, usilieNimelia sana😭