Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,457
- 65,765
Unakuwa umetisha mwambie muuzaji aweke lipa nambaHako nako katamu balaa,nikivaa hicho natupia na kofia ya Jango🤗🤗🤗
Unakuwa umetisha mwambie muuzaji aweke lipa nambaHako nako katamu balaa,nikivaa hicho natupia na kofia ya Jango🤗🤗🤗
JichanganyeAtakama huna nikikuona nakurusha mawe
Mimi sio mfupi nenda selfikaKwani hapa anaongelewa nan?
Uje pm unione siwezi kuwa na dipresheni alafu niwe mfupiKumbe kaemolo🤣🤣
Mimi sio mpare🤣🤣🤣🤣 kwahiyo kumbe sio?
🤣🤣🤣🤣Uje pm unione siwezi kuwa na dipresheni alafu niwe mfupi
Hii nakataa🤣Mimi sio mpare
Kwahiyo ushamuacha?Kabisa🤣🤣
Mimi sio mpare🤣🤣🤣🤣
Aaah hakuna mpare mrefu.
Utanifanya nini wewe pimbi?Jichanganye
Kabishi kama muhaHii nakataa🤣
Ndioooooo! Wapare sio watu🤣🤣Kwahiyo ushamuacha?
Nikafanye nini? Acha kujitetea bhnaMimi sio mfupi nenda selfika
Si ndio🤣Kabishi kama muha
Nitamtag aje akununulie nguoNdioooooo! Wapare sio watu🤣🤣
Sawa tajiriNikafanye nini? Acha kujitetea bhna
Vijitu vifupi mna shida sanaSawa tajiri
Utanifanya nini wewe pimbi?
Mmeshamuungisha nguo au kazi kujaza komenti tu?Si ndio🤣
Kwani wewe hapa una jaza maji au?Mmeshamuungisha nguo au kazi kujaza komenti tu?
Mimi nna place order nahitaji gauni alilovaa huyo dada pichani na yeye mwenyeweKwani wewe hapa una jaza maji au?