Nguo za mistari mistari(Zebra) za kina dada zinaboa!!!

Mi nadhaji zinawapendeza zaidi wale wenye "vijungu vya uchokozi" kama beibe nasty na wengineo. Ni kweli zimekuwa nyingi sana mitaani

Kaizer wewe jaman. Any way kiukweli ukiamua kuvaa za dukan ndo ukubaliane na yote darcombine kama sio tanzania combine but kwa wale wenzangu na mimi wa sagulasagula mitumbani hatuna tabu uniqueness n cheapness buku mbili moja watokelezea kaulize zebra utajua bei yake na lazma ununue na vile vikoti sijui sweta single button bt wanapendeza tuu me ilike casual gauns n si unajua tena miili yetuu hii yakina michele obama, condolisa rise wote hao siez vaa tentemente kila mtu anavaa
 
Last edited by a moderator:
wewe unaangalia nguo badala ya figure yake!! acha utani bwana, wanaume tunaangalia aliyevaa na sio alichovaa.
 
We koma! Yani zinahamasisha mbaya,tena ukuye ndo kaichomeka kwenye chupi na kupandisha upande mmoja dizain flan inye inavibrate unaweza gongwa na gari au shingo kupinda

:lol::lol::lol::lol:hahaha nilikuwa sijacheka kutwa nzima. Jamani ni fasheni tu itapita mtuvumilie ilikuwepo charanga ikapita,

ikaja sijui kibinda nkoi ikapita, vikoi vikapita nayo itapita itakuja nyingine hahaha!
 
Inaonekana Huko Rumande Lulu kunampenda maana anazidi kunawiri shavushavu au ndio kule kushiba.............
 
Alafu wanavyo yashika kwakuyabana upande moja alafu **** linaonekana lilivyo jaaa. Lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…