King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,150
- 98,576
Umofia kwenu wana Chitchat!!
Kuna hii minguo ya kina dada ina mistari mistari kama ya pundamilia zipo rangi tofauti tofauti zipo kama dera yani kila kona lazima kati ya madada 10,7 wametinga hayo malonyalonya khaaaaaaa yanaboaaa kama yeboyebo vile.
Mi huwa sikumbuki kuangalia nguo, sana sana na concentrate kwenye body structure. sikumbuki kabisa nguo gani mwanamke anavaa dah!
Sasa KING KONG III ultaka
wavae zipi kama hzo
znakukera?!
Zinakera kama ilivyokua yeboyebo wavae nyingine bwana yani kila wadada ukikutana nao wamezivaa.
Mh,kwahyo ata me nkivaa ntakukera jaman!!
Haaa zipo humu ni zile ambazo wakivaaa wanaziingiza ndani ya chupi halafu wanatembea hvyohvyo we chunguza tu ukiona dada kavaa gauni lina mistari mistari ndio hilo hilo,mara nyingi njano kwa nyeusi,nyeupe kwa nyeusi,kijani kwa nyeusi,blue kwa nyeusi.