Nguo yake imeniponza

Nguo yake imeniponza

Kuna binti niliwahi kuwa naye sasa kumbe aliacha kipichu chake chini ya godoro la kitanda changu,

Leo nilitoka nimerudi mchumba kanuna mpaka basi, nauliza tatizo nini? naonyeshwa pichu ya e-x,

Mchumba kalia mpaka basi haelewi hili wala lile mbaya zaidi sikuwahi mwambia nilikuwa na mtu kabla yake!

Mpaka naandika ujumbe huu kalala kwenye kochi chumbani jamani nifanyeje?

Na nyinyi bi-dada zetu unaachaje nguo tena ya ndani kwa mvulana wako bila taarifa?

Kichwa kinauma nahisi kupoteza mtu nilie msotea miaka mingi jamani duh!

ushauri wako jamani mtoto ana hasira hata sielewi nafanyaje ananiona si mwaminifu kabisa!

leo unadai ni cha ex...acha uzinzi. hawara yako uliyemwingiza jana kakiacha ili hawara yako mwingine (ambaye hata wazazi wake hawajui wala hujatambulishwa) ajue ulivyo malaya na akuache. ACHA MICHEPUKO
 
View attachment 139691
zamani+za+kale.JPG

hahahaha! Tyta taratibu plz
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom