Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Rejea thread ilikuwa ya lini? alafu utagundua maneno mwaka unaisha sasa july yalimanisha mwaka wa mahusiano au mwaka 2013? soma kwamakini bila papara utaprove failure mwisho wasiku kwani mimi najua uongo huwa unajitenga na ukweli! narudia sina hasira ila hii ni true story upo?
YOU MIGHTY BE SPEAKING THE TRUTH BUT NOT BEYOND REASONABLE DOUBT.THAT WHERE I STAND. Post uliitoa 29th December 2013 13:51.its obvious ni kipindi mwk unaisha... na wala si mwk wa mahusiano..bado uongo haujajitenga and you need to prove me wrong