Nguo ya ondani ya mwanamke ina thamani sana

Nguo ya ondani ya mwanamke ina thamani sana

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,432
Jana ktk ptapta zangu maeneom ya mlimani city nikakutana na dada yaani nguo yake ya ndani yote unaiona mpk rang nitaupload picha kwa reference hoja yangu hv kina dada hamjui kama nguo zenu za ndani zna thaman sana kwa wanaume. Plz try to change basi wanaume weng hatuwez kuongozana na wanawake wa dizaini hyo maana imekuwa kama fashion kwenye /$"$ ndio ucseme wana vaa vtop. Na skin jeans ucombe atake kucmama sasa mpk bikin unaiona samahani kakin kama nime2mia lugaha ya matusi kwa dizaini hii nguo za ndan cku hz zmekuwa nguo za nje!
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1349091857596.jpg
    uploadfromtaptalk1349091857596.jpg
    96.1 KB · Views: 1,481
Iko wapi hiyo nguo ya ndani yenye thamani uliyosema uta-upload?...maana naona umeweka picha ya mama kavaa gauni lake la harusi ananunua vitu na ipo upside down.
 
Ndio fashion siku hizi.... atleast huyu kavaa, wengi hawavai.. wanasema na joto lote ni usumbufu... na anavaa rojorojo.... kama huwezi vumilia vaa miwani tinted...
 
Kwa maisha ya sasa hata sishangai

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jana ktk ptapta zangu maeneom ya mlimani city nikakutana na dada yaani nguo yake ya ndani yote unaiona mpk rang nitaupload picha kwa reference hoja yangu hv kina dada hamjui kama nguo zenu za ndani zna thaman sana kwa wanaume. Plz try to change basi wanaume weng hatuwez kuongozana na wanawake wa dizaini hyo maana imekuwa kama fashion kwenye /$"$ ndio ucseme wana vaa vtop. Na skin jeans ucombe atake kucmama sasa mpk bikin unaiona samahani kakin kama nime2mia lugaha ya matusi kwa dizaini hii nguo za ndan cku hz zmekuwa nguo za nje!

jaman ni aina ya ujasilia mali hapa
 
Hahahaha. Mtakoma. Mbona nyie mnavaa kata k banaa, acha dada wa watu apige show.
 
ina thamani gani.mimi hata huwa sivai
kutuharibia tu k zetu
kwanza nasikia wanaovaa wanapata fangasi

Ayayayayayayaaaaaaaaaa, tafadhari uwe unavaa! Kutovaa kunarahisisha kazi ya wabakaji!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mpaka umemfatilia,ukapiga na picha!!! Ujumbe alioutarajia huyo binti umeshafika.Wadada wengi hawavai nguo bila kujitazama kwa kioo.
 
Mpaka umemfatilia,ukapiga na picha!!! Ujumbe alioutarajia huyo binti umeshafika.Wadada wengi hawavai nguo bila kujitazama kwa kioo.

kuna watu wanaishi kwenye nyumba hawafungui dirisha wala pazia. Ukiingia hujioni. Huyu atakuwa kajiangalia gizani!
 
Haipendezi kwa mtu kuonekana alama za nguo zake za ndani seuze rangi na maungo mengine
 
Back
Top Bottom