Nguo ya ondani ya mwanamke ina thamani sana

Nguo ya ondani ya mwanamke ina thamani sana

kumbe chupi ina thamanimkwa mwanaume?

Ingekuwa ina thamani kwa huyo dada angeificha ila kwa kuwa haina thamani kwake ndo maana kaionyesha.....

Hebu nikale nguna yangu mie
 
Kizuri chajiuza kibaya chakitembeza na biashara ni matangazo vlevle
 
Haipendezi kwa mtu kuonekana alama za nguo zake za ndani seuze rangi na maungo mengine

Mwl jana tulikuwa tumezungumzia uzi mmoja na katika hilo tulijadili sana maadili na hii tabia ya kuiga bila tafakuri. Halafu wenzentu mara nyingi huchagua nini wavae wapi lakini sisi nguo ya club mtu antinga nayo mjini mchana.
 
Mwl jana tulikuwa tumezungumzia uzi mmoja na katika hilo tulijadili sana maadili na hii tabia ya kuiga bila tafakuri. Halafu wenzentu mara nyingi huchagua nini wavae wapi lakini sisi nguo ya club mtu antinga nayo mjini mchana.

Ndio tatizo la ulimbukeni, mtu unaiga bila ya kujua unaiga nini. Na hiyo ipo kwenye makundi yote ya kijamii.

Nenda chuo kikuu chochote Tanzania. Nguo zinazovalia huko watu wakienda madarasani huwezi kuziona kwenye chuo kikuu cha maana katika nchi za nje.

Tunaiga hadi tunachafua
 
ina thamani gani.mimi hata huwa sivai
kutuharibia tu k zetu
kwanza nasikia wanaovaa wanapata fangasi

Ninasikia pia zilibuniwa kwa wanaume kumhifadhi mtu mzima maana huwa hana simile anataka kutazama nje wakati

wowote tu akisikia kuna kitu kimepita lakini haikuwa kwa ajiri ya wanawake.
 
wasiovaa ndio dili maana haina tofauti na kanga moja ndembendembe
 
kweli dada zetu badilikeni maana hata hao tunaowainga hawavai nguo kama tunavyovaa sijui tunaelekea wapi dada watu amevaa nguo safi tatizo ni kuonyeshanguo za ndani huu sio utamanduni wetu tubadilikeni
 
message sent so bad hao madada wenyewe hawapo wengi huku jf
 
hayo ni mambo ya kwenda na wakati. Sasa hivi wataanza kutembea uchi. Lakini hujawa fair enough, wanaume siku hizi wanavalia suruali kwenye makalio na chupi zao zinaonekana kabisa lakini huwasemi!!!!Au chupi ya mwanaume haina thamani?
 
Huyu ni tx {house girl] wa mlimani chuoni kwa profesor ....... anatoka na baba mwenye nyumba mkewe anafanyakazi benki ya posta
 
Back
Top Bottom