Nguo kampala

Nguo kampala

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,942
Tunamiliki liduka cha nguo cha mtaji kama 2m! ni mwezi 1 toka tuanze ,niliwahi kuambiwa hapa kama nahitaji nguo niende Kampala !
Hivi karibuni nitasafiri kwenda Kampala kwa mission tofauti ,nataka kutumia muda huo pia kuangalia uwezekano wa kuangalia ni jinsi gani ya kupata nguo huko !Naomba mwenye taarifa juu ya bei za nguo Kampala (mpya na mitumba) aniambia na namna zinavyoweza kulipa na uapatikanaji wake .
Natanguliza shukrani!
 
mkuu mbona hata nairobi zipo quality kwa bei nzuri bt ug ni cheap zaidi joo. vijana wa arusha watakueleza vizuri wanaojishughulisha.
 
kampala nguo ni cheap na ukiwa na ela ya tz unapata zaidi ubadilishaj wa pesa uko 1000tsh unapata 1600ugsh.ukiwa na swali lolote uniulize najua sana kuhusu kampala.
 
kampala nguo ni cheap na ukiwa na ela ya tz unapata zaidi ubadilishaj wa pesa uko 1000tsh unapata 1600ugsh.ukiwa na swali lolote uniulize najua sana kuhusu kampala.

Keshauliza, mshushie nondo umwelekeze na mitaa wanayouza nguo za jumla za mitumba na mpya!
 
Back
Top Bottom