Nguo ambayo haina rangi

Nguo ambayo haina rangi

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Tajiri mmoja alitaka kufunga ndoa,akaamua ashone nguo ambayo haina rangi,,akamweleza fundi cherehani amshonee nguo hiyo na atampa kias chochote atakachotaka,,FUNDI cherehan akawazaa akaona hakuna kitambaa ambacho hakina rangi,,akamjibu Tajiri "Ntakushonea nguo hiyo,,ila na wewe siku ukileta pesa,usije jumatatu,jumanne,jumatano,alhamis,ijumaa,jumamosi wala jumapili,,tafuta siku tofaut na hizo uje.
 
Hahahahaha nice one

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
mmmmhhhhhhh.......!!!!!!!???????
 
Tajiri mmoja alitaka kufunga ndoa,akaamua ashone nguo ambayo haina rangi,,akamweleza fundi cherehani amshonee nguo hiyo na atampa kias chochote atakachotaka,,FUNDI cherehan akawazaa akaona hakuna kitambaa ambacho hakina rangi,,akamjibu Tajiri "Ntakushonea nguo hiyo,,ila na wewe siku ukileta pesa,usije jumatatu,jumanne,jumatano,alhamis,ijumaa,jumamosi wala jumapili,,tafuta siku tofaut na hizo uje.

like it!!!!!kama kufungana basi ni bao tatu kwa tatu
 
Hapo ni sawa na muuza cheni kauza cheni bandia na mtoa hela katoa hela bandia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom