Ngumu kumeza kuhusu ajira mpya

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Kwa wale mliofatilia hotuba ya Rais siku ya mwaka mpya wa sheria duniani Rais wetu alisikika alisema mambo yafuatayo:

1. Serikali hii kila mwezi inakusanya takribani trioni 1.2 mpaka 1.3

2. Serikali inalipa mishahara kila mwezi zaidi ya bil 600

3. Serikali kwa mwezi Jana imelipa deni la nchi takribani bil 900

My take.

Mpaka hapo mwenye akili hawezi kuambiwa kwann hakuna ajira serikali ni.

Mipango yote na propaganda eti tuna hakiki hazina maana yoyote ile suala kubwa ni NATIONAL CAKE NI NDOGO

NAWASILISHA.
 
Ila pia mwenye akili atajiuliza hivi nchi inaendeshwa na tra tu kama 1.2 tri unakusanya ukilipa mishahara 600 ina baki 600 tu basi Jakaya ni jembe maana makusanyo yake ayakufika 1.2 na haliweza kulipa hadi wafanya kazi hewa watu wanastaafu uwezi acha kuajiri ila Rais anataka waajiri watu muhimu kubana budget
 
Mpaka miaka 10 imalizike tutakuwa tumenyoka
 
Ila pia mwenye akili atajiuliza hivi nchi inaendeshwa na tra tu kama 1.2 tri unakusanya ukilipa mishahara 600 ina baki 600 tu basi Jakaya ni jembe maana makusanyo yake ayakufika 1.2 na haliweza kulipa hadi wafanya kazi hewa watu wanastaafu uwezi acha kuajiri ila Rais anataka waajiri watu muhimu kubana budget

Jakaya ni jembe wakati alikua anakopa ila huyu wa sasa analipa

Umeona tofauti?
 
Kwa wale mliofatilia hotuba ya Rais siku ya mwaka mpya wa sheria duniani Rais wetu alisikika alisema mambo yafuatayo:

1. Serikali hii kila mwezi inakusanya takribani trioni 1.2 mpaka 1.3

2. Serikali inalipa mishahara kila mwezi zaidi ya bil 600

3. Serikali kwa mwezi Jana imelipa deni la nchi takribani bil 900

My take.

Mpaka hapo mwenye akili hawezi kuambiwa kwann hakuna ajira serikali ni.

Mipango yote na propaganda eti tuna hakiki hazina maana yoyote ile suala kubwa ni NATIONAL CAKE NI NDOGO

NAWASILISHA.
Hii ni shida kubwa kwa awamu hii, ajira. Hili ni tatizo kubwa. Tazama shule za misingi, watoto wameongezeka tena kwa sana . Lakini No. Hili ni tatizo.
 
Back
Top Bottom