Ngozi yenye mafuta. atumie nini?

muuza ugoro

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
334
59
wandugu.
nina mdogo wa rafiki yangu, anasema ngozi yake (esp. ya usoni) ina mafuta sana. atembeapo juani yani kama kitumbua jinc ngozi inavotoj mafuta. vp atumie lotion au mafuta ya aina gani?
 
kwanza aende sauna, yatatoka yenyewe, then atumia facial cream. ununuapo vipodozi lazima ujue vinatumika wapi. si tu ili mradi umenunua lotion au cream, madhara ndo kama ivyo kusema ngozi inamafuta. mwambie pie avae kofia kujiknga na jua ili asiwe kitumbua zaidi
 
Atumie cream,kaz ya cream ni kukausha ngoz inayokuwa na mafuta mengi lakin asitumie cream zenye steroids maana atapata acne!
 
Atumie cream,kaz ya cream ni kukausha ngoz inayokuwa na mafuta mengi lakin asitumie cream zenye steroids maana atapata acne!
 
Wakuu hii kitu inanihusu sana! I have also oily skin lakini sio extreme. Ikifika mida ya mchana lazima uso unajaa mafuta hata kama sikupaka chochote asubuhi. Kuna kipindi nilienda kuwaona SH Amon ila hawakunipa mafuta waliyonifaa. Kwanza waliniambia nitumie camfor cream kama matibabu then badae watanipatia lotion ya oily skini lakini haikufaa coz still ilikuwa inanitoa mafuta. Mwenye taarifa za msaada please mwaga jamvini.
 
Atumie Facial Wash.

Ama asipake mafuta kabisa au atumie Lotionfor OILY SKIN. Iko Expensive Kidogo.
 
What lotions does is to rehydrate,moisturize and sooth the skin and they are idealy for people with normal skin and dry skin,for an oily skin they ar not ideal use cream of any kind but it should be steroid free and that is the primary sign for acne,am stil a medical student and am a bit aware of so many skin conditions.i will offer free consultation and advice on what to use.
 
Please REX we are waiting for your free consultation.
 
Ok! Thanks,naamin wana jf ni wastaarabu sana my number is 0715720276 karibun sana.
 
Oily Skin inahusu mambo mengi ukianza na diet unayotumia. Needless to say vyakula vyenye mafuta vitasababisha ngozi yenye mafuta. You are what u eat so limit your intake of fats.
2. Oily skin needs extra care ama itasababisha mlipuko wa vipele usoni.
3. Wash face thrice a day with warm water and soap free cleansers. Unaweza ukatumia facial wipes kama huwezi kuosha mf km upo kazini.
3. Tumia products ambazo ni oil free. Products zenye ndimu zinasaidia ila uwe mwangalifu katika kuchagua zisije kukuchibua.
4. Usipoweza kuvaa kofia tumia creams ama lotions zenye SPF( Sun Protection Factor) sijui una rangi gani manake kila rangi ya ngozi ina SPF yake.
Baadae nikikumbuka zingine nitawaambia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom