Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
usipende kutembea Juani ...
kwa Dar utatembea wapi au we full kushinda ndani
usipende kutembea Juani ...
Jizoeze kidogokidogo utaweza na utashangazwa ma matokeo yake hata mkojo unakuwa mweupee na haunuki
Kaka si zile zenye vinyesi na kemikali inabidi kuwa mchaguzi kweli
Usipotembea juani na maisha ya kibongo utakula wapi my dia
kwa Dar utatembea wapi au we full kushinda ndani
Nimeipenda....
Pia kadri uwezavyo epuka jua kali..sio zuri kabisa
Jizoeze kidogokidogo utaweza na utashangazwa ma matokeo yake hata mkojo unakuwa mweupee na haunuki
pia UTI, ataisikia kwa jiran...naongezea pia changanya kijiko kimoja na asal robo kijiko ipakwe usoni,uiache kwa mda then unanawa na maji ya uvuguvugu, kila baada ya week...na utazd kua forever young!
Wenzetu wachina wanaogopa sana jua na kipindi cha summer hutembea na miamvuli, sisi tanzania ukitembea na mwamvuli utasemwa kuwa umejichubua unaogopa kuungua, au usister duu/usharobaro umekuzidi, ila kiukweli jua linaharibu ngozi zetu
pia UTI, ataisikia kwa jiran...naongezea pia changanya kijiko kimoja na asal robo kijiko ipakwe usoni,uiache kwa mda then unanawa na maji ya uvuguvugu, kila baada ya week...na utazd kua forever young!
chukua asali kijiko kimoja/sukari kijiko kimoja changanya na ndimu/limao robo kijiko cha chai ikoroge afu huo mchanganyiko upake usoni, kaa nao kama robo saa then unawe uso na maji ya uvuguvugu, ila hakikisha unatulia kivulini usitembee na asali juani maana inafanya ngozi kuwa laini sana.Sweetheart sijakuelewa kidogo, some words are missing. Nichanganye asali na nini?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
chukua asali kijiko kimoja/sukari kijiko kimoja changanya na ndimu/limao robo kijiko cha chai ikoroge afu huo mchanganyiko upake usoni, kaa nao kama robo saa then unawe uso na maji ya uvuguvugu, ila hakikisha unatulia kivulini usitembee na asali juani maana inafanya ngozi kuwa laini sana.
Unatembea sawa ila kuna wale wenye tabia za kuzurura kutwa kweny jua Kali yeye kiguu na njia ndo tunasma wapunguze...
chukua asali kijiko kimoja/sukari kijiko kimoja changanya na ndimu/limao robo kijiko cha chai ikoroge afu huo mchanganyiko upake usoni, kaa nao kama robo saa then unawe uso na maji ya uvuguvugu, ila hakikisha unatulia kivulini usitembee na asali juani maana inafanya ngozi kuwa laini sana.
chukua asali kijiko kimoja/sukari kijiko kimoja changanya na ndimu/limao robo kijiko cha chai ikoroge afu huo mchanganyiko upake usoni, kaa nao kama robo saa then unawe uso na maji ya uvuguvugu, ila hakikisha unatulia kivulini usitembee na asali juani maana inafanya ngozi kuwa laini sana.
Hata kwa kunywa hiyo mixer ni nzuri pia
mkuu huwez tambua kwa macho...
dar es salaam si salama kwa mboga mboga!!!!!!!!!!!! trust me!!!!!!