Ngozi mororo laini yenye mng'ao wa asili

Ngozi mororo laini yenye mng'ao wa asili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Uzuri ni hitaji muhimu mno la binadamu hakuna asiyependa uzuri
Watu tunashindana kuwatafuta wenzi bomba ili tusifiwe
Hii imepelekea watu kuutafuta uzuri kwa gharama kubwa kwa kutumia lotion sabuni na mafuta yenye kemikali kali !!hivi vimesaidia sana kuleta mwonekano mtu aupendao lakini kwa bahati mbaya sana vina madhara makubwa mwilini
kuepukana na madhara hayo na gharama za vipodozi vya bei mbaya tumia njia hii
Usinywe maji baridi
kunywa maji mengi kadiri uwezavyo lita mbili kwa siku at least
Kula sana matunda ya kila aina
Kula sana mbogamboga
Tumia sana asali na samli
Pendelea vyakula bahari
Pendelea vyakula vya kuchemsha
epuka vyakula vya makopo kuku na mayai ya kisasa
punguza kunywa pombe hasa pombe kali zinazeesha ngozi
Epuka sigara na vilevi vingine
Tumia sabuni za kawaida na mafuta yako yawe ya nazi
Umeona eeh ni vitu rahisi mno ukiweza kuvitumia hakika ngozi yako utaisahau !makunyanzi mapele chunusi nk vitatoweka
Stay forever young n lovable with natural beauty ...!
 
Nakunywa tusker tatu tu kila weekend, matunda nakula sana tu, ngoma ni hapo kwenye maji mkuu, nikinywa zaidi ya glass moja kwa wakati mmoja tumbo linajaa na kuuma balaa.
 
Ngozi laini na nyororo.. kama ya Price...! maji ndio kila kitu... pamoja na matunda
 
Last edited by a moderator:
Nakunywa tusker tatu tu kila weekend, matunda nakula sana tu, ngoma ni hapo kwenye maji mkuu, nikinywa zaidi ya glass moja kwa wakati mmoja tumbo linajaa na kuuma balaa.

Jitahidi jizoeze kunywa ya vuguvugu au moto kiasi tafuta zile thermos za maji itakusaidia sana
 
Daaah me mwenyewe maji mengi yananishinda jaman

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Daaah me mwenyewe maji mengi yananishinda jaman

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jizoeze kidogokidogo utaweza na utashangazwa ma matokeo yake hata mkojo unakuwa mweupee na haunuki
 
Maji mpango mzima .....tumia lotion isiyokuwa na chemical usipende kutembea Juani ...
 
download (9).jpg
 
Maji ya Baridi yana madhara gani?nijuze tafadhali

Yanagandisha mafuta mwilini yanaleta uwiano usio sahihi kwenye joto la mwili madhara yake huja taratibu na kwa muda mrefu kumbuka maji baridi hayakufanyi utoke jasho
 
mboga mboga dar es salaam??....:A S 103:
 
Back
Top Bottom