donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Mkuu kuna vitunguu vya salad na vya kupika....vya salad vinalika vibichi.Mkuu unakula vitunguu vibichi
Mkuu, wewe kale ushibe. Mimi na support utalii wa ndaniutakuta jamaa kalipishwa elfu 60 kwa sahani halafu anajifanya kashiba kumbe kaibia. Hiyo elfu 60 mtaani unapata gunia la mpunga unakula miezi sita
HahahaNingeshangaa hadi mwaka huu ungeisha ninashangaa kama mleta thread USINGEKUWA UMEWEKA PICHA ZA VYAKULA VYAKULA
Kabisa brovizuri umetalii umejifunza vitu vingine pia umepunguza stress
I never go solo bruh, trust meHalafu kwa hiko Chakula na hiyo Soda ya Coca Cola nisikie unaishia tu kupiga bao ' moko ' kwa Mkeo / Demu wako.
Mkuu, msos wa hotel utashiba qweli?Sasa huto tu wali utashiba kweli?
Kwahiyo unakula msosi wa hotel ili iweje ama kwa lengo lipi hasa kama huli kwa ajili ya kushiba??Mkuu, msos wa hotel utashiba qweli?
Afu utasikia wengine wanasema Vyuma vimekaza!
kawekeze uje kujenga taifa baadae kwa kutoa ajira kwa wengine. Hayo mambo yakujifanya unaenda Ngorongoro na kuishia kupost wali nyama na mavitunguu mabichi ni utoto tu ukikua utaacha. Kuna level za maisha hata ukipanda first class kwenye Airbus haupigi picha (high level of maturity) wewe umetumia hela zako za ngama kula hapo Ngorongoro unaona ufahari. Sio kwamba sipendi ufanye utalii ila naona kama bado hujatusua kwa style yako ya maisha ya kula wali nyama na kutupostia huku. Inaonyesha bado mgeni wa maisha nadhani siku ukila yale mavyakula ya business class ya Emirates utapiga picha mpk storage ya simu itajaaMkuu, wewe kale ushibe. Mimi na support utalii wa ndani