maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,075
Mku umenikumbusha kipindi nasoma Lyamungo tulikuwaga Siku za week end tunaenda Narumu tunarudi usiku mkubwa na Yukawa tuna a visa juu ya huyu ngoromiko.Wakati nakua huko nyumbani (arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Mrefu sana
Huonekana mara nyingi usiku tuu
Huwasha taa mara Moja na kuzima taa hiyo inasemekana ipo kwenye paji lake la uso.
Mwili wake umegawanyika mara mbili upande ngumu kama chuma na nusu ni kama binadamu
Je umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie
Wakati wa kwenda kulima na ng'ombe mbugani alfajili yamesumbua mno.linaweza murika umbali km10,ndan ya sekunde linamurika umbali km3.lakini wakongwe wanakuambia achana nayo hayo.Kinyakyusa
Hilo dude limetusumbua sana kijijini
Mbuga ya Tenende/Kasala na Katembo yamesumbua sana.Wakati wa kwenda kulima na ng'ombe mbugani alfajili yamesumbua mno.linaweza murika umbali km10,ndan ya sekunde linamurika umbali km3.lakini wakongwe wanakuambia achana nayo hayo.
Aisee hatari sanaMbuga ya Tenende/Kasala na Katembo yamesumbua sana.
Majuzi nimeenda msibani,ile nakatisha shule ya Tenende kwa mbele kabisa nikaona mwanga,ilikuwa saa saba usiku... Wife akaanza kuogopa.
Weee bwanaNasikia ndo sababu ya kuamishia ikulu Dodoma, ngoromiko alimlaza nje mwendazake.
Hilo dubwana huwa halina shida sana na hizo huwa ni mbwembwe flani kukupa taarifa kuwa lipo eneo hilo.Majuzi nimeenda msibani,ile nakatisha shule ya Tenende kwa mbele kabisa nikaona mwanga,ilikuwa saa saba usiku... Wife akaanza kuogopa.
Isyetano.
Wakati nakua huko nyumbani (arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Mrefu sana
Huonekana mara nyingi usiku tuu
Huwasha taa mara Moja na kuzima taa hiyo inasemekana ipo kwenye paji lake la uso.
Mwili wake umegawanyika mara mbili upande ngumu kama chuma na nusu ni kama binadamu
Je umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie
Mbuga ya Tenende/Kasala na Katembo yamesumbua sana.
Majuzi nimeenda msibani,ile nakatisha shule ya Tenende kwa mbele kabisa nikaona mwanga,ilikuwa saa saba usiku... Wife akaanza kuogopa.
Viumbe toka sayar nyingne wakija dunian mnawaita majini..bas sawaWakati nakua huko nyumbani (arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Mrefu sana
Huonekana mara nyingi usiku tuu
Huwasha taa mara Moja na kuzima taa hiyo inasemekana ipo kwenye paji lake la uso.
Mwili wake umegawanyika mara mbili upande ngumu kama chuma na nusu ni kama binadamu
Je umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie
Hilo dubwana huwa halina shida sana na hizo huwa ni mbwembwe flani kukupa taarifa kuwa lipo eneo hilo.
Hila sasa ukutane nalo likiwa na hasira za kunyang'anywa hawala time hiyo unaweza kuganda kwenye joto au kutokwa na jasho kwenye baridi kali.
Mzee mmoja jirani aliwahi shuhudia vita yao yakichapana ila omba yasikuone yanapokuwa kwenye mpambano, eitha upikwe mzima mzima au wakugawane kila familia zao zipate kitoweo ambacho ni nyama yako!.
Raha sana kwetuDaaahhh home sweet home kyela mweeh
Kali gwalyaghile kughu nkamu?Isyetano.