Alagwa
Member
- May 30, 2012
- 97
- 89
Wakati nakua huko nyumbani (Arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho Ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Je, umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie?
Wasifu wa ngoromiko
- Mrefu sana
- Huonekana mara nyingi usiku tuu
- Huwasha taa mara Moja na kuzima taa hiyo inasemekana ipo kwenye paji lake la uso.
- Mwili wake umegawanyika mara mbili upande ngumu kama chuma na nusu ni kama binadamu
Je, umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie?

