Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
Katika hili sina muda maalumu.........iwe mchana....usiku........... lakini huwa nafanya kwa kificho na hii ni kwa sababu maadili ya kitanzania hayaruhusu kufanya hadharani..........inahitaji FARAGHAkwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
Mungu alivyumba usiku na mchana alikuwa na maana yake!si ngono tu inayotendwa usiku kuna mambo mengi sana,ukiingia ktk vitabu vya dini tendo hilo ni takatifu,na hufanywa na watu walio kuwa tayari ktk shida na raha etc,so kuna mazingira ambayo unaweza kufanya mchana na mazingira mengine huwezi kufanya hivyo,ndio maana Adam alipoitwa na Mungu akagundua yu uchi hivyo akajificha!
Kumbe na Neno la bwana unalijua? sikulitambua hilo kabla
ah ah ah mi mpendwa!
Nani alikwambia wanatenda hadharani? Msipende kuiga wabongo!Wale ma pornsters wanatenda hadharani tena na migun o kibao
Hawo ni wanaakili za wanyama?
katika hili sina muda maalumu.........iwe mchana....usiku........... Lakini huwa nafanya kwa kificho na hii ni kwa sababu maadili ya kitanzania hayaruhusu kufanya hadharani..........inahitaji faragha
si ya kitanzania tuu hata ulaya hawafanyi hadharani, linahitaji utulivu kwani hujawahi sikia kesi za wazungu wakishitakiana kwa sababu jirani yao anawasumbua kwa sababu akiwa katika majambozi anapiga kelele kiasi kwamba jirani zake wanakosa usingizi? Zingekuwa kelele za disco au kitu kingine wangeweza kuvumilia lakini kelele za mapenzi kama mtu umzima huwezi kuvumilia.
Mi mapambano yangu napiga mchana kweupeeee
Mi nainjoi zaidi gemu nikipigia kwenye mapori mchana kweupeeee.
Kila demu ninayempenda huwa nampeleka kwenye kisiwa cha Bongoyo, kuna kijimsitu fulani hivi, nikienda kule ni kumgaragara kila style, mwenyewe anabaki na memories za kufa mtu ambazo kamwe hazitaweza kufutika maishani mwake
Wale ma pornsters wanatenda hadharani tena na migun o kibao
Hawo ni wanaakili za wanyama?