Ngono/Tendo la Ndoa.

kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?

Kwa nini huwa huwezi kutembea uchi, au nusu uchi, bila suruali, kaptula au chupi?
 
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?
Huwa halitendwi gizani, bali chumbani kukiwa na mwanga wa kutosha. Hukuhudhuria semina ya ndoa wewe? Lazima umuone mwenzio yukoje, naye akuone...
 
Tendo hili latendwa wakati wowote kaka iwe gizani au kwenye mwanga. Miguno dada zetu wa cku ni ladhima hiyo haiepukiki, watu wengine wakickia unategemea nini hapo?!!! Hiyo ni raha ya wawili bulaza.
Mhandisi huwa unanikosha...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!salama lakini?
 
kwanini hili tendo latendwa gizani, tena kwa uficho wa hali ya juu/ Na mkiwa mnatenda hamtaki watu wengine wasikie japo miguno yenu?

mmmmmhhhhhh kaka muda wowote, sa yeyota na mahali pa heshima...
ile ya usiku halafu mnavuta blanket hata hamuangalia mmmmhhh utanisamehe siyawezi...
 
Si ujinga wao tu, eti binadamu wanamuiga PAKA, au kuna mtu alishamuona paka akiwa kazini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom