Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 736
Hii mada haifai ktk maadili ya kiislam aliyeianzisha lazima atakuwa ni mlevi wa ngono
Ngono ni tamu jamani acheni maskhara, Yani cpati picha saa hizi kwenye hizo gesti hausi kinachoendelea Yani kama kuna tv zingekuwa zinaonyesha kila kitu huko ndani au mapaa yangekuwa wazimu tungeshuhudia jinsi wanadamu walivyo Busy na hiyo kitu
wanandoa wanadiriki kudanganya ili tu wakazini nje ya ndoa,makazini watu wanaomba ruhusa za uongo ili tu wakazini
Yani Usiku kucha mchana kutwa kazi ni moja tu kungonoana, c mkubwa c mdogo c tajiri c maskini
Huyo asiyependa ngono na ajitokeze Hapa tumsikie
.....ladha yake nyama tupu...unatamani usiache..jamani ile kitu ni taaaamu
We unaochangia una miaka mingapi?
Hiyo makitu ni matamu yanapokutana na wenye fani zao.
zinafundishiwa wapi?
Hiyo shule yake ipo.
Hahahaaaaa taibadilisha basi