TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
We sasa tafuta uzi wako manake we ndo Kichaa kabisaaaaa!!
Hapana mkuu lazima uwe muwazi hata shemeji/wifi yako analitambua.
We sasa tafuta uzi wako manake we ndo Kichaa kabisaaaaa!!
Nyie ndio wale gari limejaa konda awaambia mpande na nyie mnapanda,kama hadhi inashuka mbona umechangia,kuwa mpole ndio demand ya jukwaa...Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako. Usishushe hadhi ya JF.
Hapana mkuu lazima uwe muwazi hata shemeji/wifi yako analitambua.
Asiyependa atakuwa na matatizo tena ya akili, au alitumia vilevi tofauti akiwa mdogo. Na km wote tungekuwa hatupendi sijui leo tungekuwa tunachangia thread gani? Km hupendi ngono ila unafanya ngono iwe kwa makusudi au bahati mbaya, hapa mwenyewe na kibaridi nalishia liashia kikieleweka tu ghetto fasta.
Nyie ndio wale gari limejaa konda awaambia mpande na nyie mnapanda,kama hadhi inashuka mbona umechangia,kuwa mpole ndio demand ya jukwaa...
Huyu atakuwa ndo anataka manake stahili zao za kukubali zinaanzaga ivi ivi!!
Nyie ndio wale gari limejaa konda awaambia mpande na nyie mnapanda,kama hadhi inashuka mbona umechangia,kuwa mpole ndio demand ya jukwaa...
Analo la moyoni ...!bac tu anazunguka mbuyu
We sasa tafuta uzi wako manake we ndo Kichaa kabisaaaaa!!
Achana naye aende akachangie za uchumi kwa kiingereza huyo!
Currentl there are 100 users browsing these thread
28 Membrs and 72 guest hahaaa watu kwenye Ngono siwawezi
hahaaa huyu kweli aanzishe Thread yake tu....
Mambo ya KABANG TENA !!!!!!
Mshana Jr ndo usiseme!
Nimejitokeza........!!!! Mmmh!