Acha huo utoto wako.we wajua kila mtu anayeingia guest ni kugegedana???wengine ni masuala ya business tu km zle za wenzetu wanaokamatwa hong kong,china etc Na sio kila siku mke na mume ni migegedo tu,siku nyingine ni majanga ya family na vikesi vya house boy na house girl sasa mkitibuana huko kuna migegedo kweli??UKIWA NA MIAKA 18-27 WAWEZA TOROSHA MTOTO WA mtu na ukagegeda siku zote hizo but nje ya hapo ni km fc arsenal leo soccer saf kesho majanga na ndoa inadumu........