Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Mshua siku hizi anawaza ngono tu. Hivi aunt wa kimanzichana anakuja lini kumnyoa mtoto nywele ili uzindue bendi upya?

sasa maswali gani hayo unauliza, unajua siku hizi hishma yako imekuwa inapungua kila siku..........
 

Mmmh.... Mwanamke wakati wote inambidi awe msafi bana..! Wee unakutanaga na wanawake wa wapi hao wanaovaa nguo za ndani mtoboko mpaka unaogopa unplanned sex? Lol
 
Mshua siku hizi anawaza ngono tu. Hivi aunt wa kimanzichana anakuja lini kumnyoa mtoto nywele ili uzindue bendi upya?

umeona eeeenh ,,,,,,,,,,,,,,hadi huruma yani! asije akawa anaikandamiza ngono bure babu yetu huyuuu
 
umeona eeeenh ,,,,,,,,,,,,,,hadi huruma yani! asije akawa anaikandamiza ngono bure babu yetu huyuuu

Na wewe unaungana na huyo ropo ropo..............? LOL
 
Sijasema wanawake wa kibongo ni makahaba, usinichonanishe na dada zangu humu JF...............

Nilikuwa nasubiri ujibu tu nipige mruzi watu wakushukie! Bahati yako ume maintain busara.
 
Mtambuzi nafikiri umenitangulia sana, mi niko nyuma kidogo; bado natafakari mada yako ya kukandamiza ngono ....! Nikimaliza nitairudia na hii, lol!!!
 
Last edited by a moderator:
mambo ya kijijini kwenu usifananishe na mjini wewe nafikiri ukiangalia wanaume wote ni sawa kabisa katika swala la ngono wanaume hawa hawa ndio wanabaka vichaa, mataahira, watoto wao, wanafunzi ,vibi bi vizee ,sasa sijui huko mnakutaga chupi zenye mvutooooooo?????????????? mwanaume yeye hutafuta tobo lilipo hiyo yako yakutafuta chupi yenye mvuto baadae sanaaaaa.
 
Hahahaaaaa!!!!!!!!! NAOMBA KUSHTAKI TACAIDS KUWA KUNA MTU ANATETEA NGONO ZEMBE HADHARANI WKT SERIKALI INAMALIZA PESA KUZIPIGA VITA!!!!!!!!!!!!

Na naprint huu waraka naupeleka KANISANI kwenu ili wakujue ni hatari kwa vijana!

Ngono nzuri ni YA NDANI NDOA!!!!!!!! Kwasababu zifuatazo

1. Inabaraka zote za Mola

2. Hufanyi kwa mashaka mashaka ya STDS,NGOMA,KUNATANA au UKOSEFU WA LADHA(waweza ingia mahala ukajutaaaa!)

3.Unakula kutwa mara 3 au utakavojisikia.

4.Ina faida ya kuongeza binadamu duniani.

5.Jamii yote inajua unakula na imebariki hilo.
 

Salama lakini? Uko poa mdogo wangu?
 
Hahahahahah shosti cyo ngono zembe bana, ictoshe hata huko kwenye ndoa mbona ndo wanaongoza kwa STD's esp. HIV? Acha vijana wajivinjari bana......
 
lara 1, hujaelewa mada yangu.

Nimezungumzia ngono lakini sikusema watu wafanye ngono hovyo, kwani hata mke na mume hawawezi kufanya ngono ya kushtukiza? wanawezaa kutoka kwa matembezi ya jioni ufukweni halafu wakajikuta wamefika mahali wako peke yao na wakashikwa na hamu ya ghafla na kumalizana hapo hapo.....
Mbona hiyo huwatokea wanandoa wengi, sema tu ni nadra sana kwa sababu wakati mwingine mambo ya kifamilia na muda vinagomba.

Wewe unasoma maoni ya kina Neylu, Ennie, Ciello na nivea kisha unanihukumu...!

naomba upambane na hao wanaoshabikia ngono na usinihusishe mimi kabisaa..................................LOL
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kweli sana na adimu mno, ikitokeaga kwa mwaka mara moja na inakuwa babkubwa kwa kumbukumb!!Bado naikumbuka ya mwaka jana.
 
hayaaaaaaaaaaaaaaaaa huku tena umepitaje wewe si ulisema unazungukia njia ya magomeni kukwepa foleni????????
mzima kabisa lol

Niko poa sana ...., ni kweli nilikuwa nakwepa foleni ndo nikajikuta nimedumbukia humu, si unajua STRAWBAG ujenzi wao wa BRT haueleweki????? Wameziba njia zote za mtaani!!!

Hatuchakuachui kweli uzi wa Mtambuzi?
 

We bi dada kumbe una uzoefu wa kutosha kiasi hiki?
Sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini tunajua sana utamu wa ngono za kushtukiza. Mko ngomani huko, bila kupanga wala kujua utakutana na nani unakuta na mwanamke unapiga saundi akikuelewa unaweka vyombo chap chap, inanoga ile mbaya.
 
Mkuu Mtambuzi, hii yako ni kiboko, mi kwa kawaida ni lazima nipange na siyo hivyo unavyoshauri sema kile kimenitokea mara kadhaa ni kulala na mwanamke pasipo kumtongoza, yaani tunajikuta tu tumelalana ila hakuna aliyemtongoza mwenzake !, hiii unaionaje?
 
mwambie bana, kuna ile kitu inaitwa niangusage, yaani uko umeenda kutafuta kuni na kama bahati unakutana na mrembo na yeye yuko kwenye mishe mishe hizo hizo, wala hupigi saundi ni mwendo wa niangusage uchukue sambi sako mwenyewe........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…