Ngono maofisini

WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

UPUUUZI MTUPU
WAPAMBE MSINIJADILI:focus:
Je, ya $ utalala?
 
hahahahaha......Tsh nini?? unaweza ulale hoteli ya pound or dolali ila ktanda ukalalia cha buku kumi.( telemka tukaze)
 
Mi nahisi kuna wanando hawatoshelezwi huko nyumbani. Sasa kama ni hivyo si uongee na mwenza wako. Mbona siku hizi kuna mpaka vitabu ambavyo mnaweza soma mkajifunza mambo mapya mazuri ktk ndoa yeni, na kilifanya tendo la ndoa kuwa exciting.
Jamani wanandoa hebu jieshimuni

Mkuu nakubaliana na ushauri wako. Hizo tamaa za fisi hazina tija.
 
Mi nahisi kuna wanando hawatoshelezwi huko nyumbani. Sasa kama ni hivyo si uongee na mwenza wako. Mbona siku hizi kuna mpaka vitabu ambavyo mnaweza soma mkajifunza mambo mapya mazuri ktk ndoa yeni, na kilifanya tendo la ndoa kuwa exciting.
Jamani wanandoa hebu jieshimuni
Tatizo ghubu, ww anataka kuanza mwenzako anaanza kukusimanga, mara ningejua nisingeolewa na ww, mara kuwa kama mwanaume ww, unafikiri machine itaweza kuwa wima nusu saa!!!
 
ee MUNGU WANGU, ni uchafu gani huo? Na mwanamke mzima utakubalije kufanywa kama mbwa? Tena mbwa koko shenzi zao wanawake wote wanaofanya ushenyi huu
 
Yale yale... unatukana wanawake wenzako! Kwa nini unakuwa mwepesi kihivyo kuelekeza kosa upande mmoja? umeshaambiwa 'walikuwa wakingonoka' chooni - sasa kwa nini mwenye kosa ni mwanamke peke yake? Tuweni fair jamani, acha chuki binafsi!
 
Na wanabutuliwaaa buuuuhhh....!!!! skate juuu fastaa i have seen many timee, short time maofisini nyingiiii sana
yaani mguu juuu fasta fastaa tena asubuhii ka salam vile, watu mshipa wa aibu haupo tena, machinjioni like...
 
ee MUNGU WANGU, ni uchafu gani huo? Na mwanamke mzima utakubalije kufanywa kama mbwa? Tena mbwa koko shenzi zao wanawake wote wanaofanya ushenyi huu

Na mbaya zaidi umsomeshe mkeo, mnamtafutia kazi, kapata, a
then anapigwa kimsimamo ofisini mapema asubuhi, hizi cases nyingi sana,
then anarudi home oohh baba nani kazi ya leo ngumu nimechokaa, kumbe kaliwa ka mara 3 hivi with 2 men in a single day, IMAGINE, such a pain... i feel 2 KILL...such a satan
 
WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

UPUUUZI MTUPU
WAPAMBE MSINIJADILI:focus:

Smile wewe mkali yaani unalala hoteli za 5star na unalipia $..Du ongera sana sosti...Lakini usijekuwa unalala zile za buku buku sosti ...pale uwanja wa fisi na Tandale..MMM JOKE
 
jamani kama kuna mabosi wameona hii story basi wajaribu kuwafwatilia waajiriwa wao na wawape maadili ya kazi ila me siamini kama kuna vitu kama hivi je vinafanyika mchana au ni kazi za usiku?
 
Hapo wao walikuwa wanajiona kama MUME na MKE baada ya kupiga mahesabu yao!!!
MKE wa mtu/MUME wa mtu=MKE na MUME!!!!!
 
labda tuseme, wapi ngono inapaswa kufanywa na nani unapaswa kufanya naye ni tabia ya makuzi na changamoto ndani ya mahusiano. Wengi, huwa tunatabia ya kushangaa vitu hivi, lakini mara nyingi vimekuwa vinafanyika, kila mahali misikitini,kanisani hadi maofisi ya viongozi wajuu. Labda cha kujiuliza kwanini watu wamekuwa wanaonekana mara kwa mara siku za karibuni. Pia nilidhani katika zama hizi za usasa, watu wengeweza kuelewa tu, je ni kwanini swala la ngono za nje ya mipaka zimekuwa kyero?
 
Mara nyingi hii uchangiwa na wahusika wenyewe it could be anataka cheo au ana shida fulani.
Ingawa kwa uzoefu wangu mavazi yanachangia sana.
Unakuta mtu kavaa kihasarahasara basi vijana wako standby always wanakula kichwa.
 
jamani kama kuna mabosi wameona hii story basi wajaribu kuwafwatilia waajiriwa wao na wawape maadili ya kazi ila me siamini kama kuna vitu kama hivi je vinafanyika mchana au ni kazi za usiku?

Vipo Majimbi jamani, nimeona kwa macho yangu tena mchana wa jua kali!Lol!

By the way Majimbi nimelipenda jina lako, kikwetu ni kitu moja inapendwa sana hapa duniani, lol!
 
jamani kama kuna mabosi wameona hii story basi wajaribu kuwafwatilia waajiriwa wao na wawape maadili ya kazi ila me siamini kama kuna vitu kama hivi je vinafanyika mchana au ni kazi za usiku?

Aaaaaahhh... Wee uko wapi? Mabosi ndio wenyewe twawasema hapaa.. ndio geuka shika meza fastaaa, wengi wao ndio wanakula mizigoo ofisini, tena even co-workers wanajua huyu, yule, kale, walee, 1...2...3...4...5...6...7...8... many wa boss, fuatilia, ni wenye vyeo maofosini hufanya si walala hoi....
 
Nashauri Maofisini waandike hivi;
NGONO HAIRUHUSIWI/MARUFUKU KABISA MAOFISINI....

Back
Top Bottom