Ngonjera ya Nyoka Kuvua Gamba (YouTube) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngonjera ya Nyoka Kuvua Gamba (YouTube)

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 20, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Usimwambie Mtu utakachosikia humu:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, imetulia lakini mbona umeibania, hutaki tusambaze ujumbe huu maridhawa.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Sasa nani asikilize kama umeibana hivi? Utamwelimisha nani? Just spill the beans!
   
 4. M

  Mary Glory Senior Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh me hata sijaelewa
   
 5. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Hata mimi cjaelewa.
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi nimkuelewa vizuri sana, kwa ufupi nyoka akivua gamba atabakia kuwa nyoka yule yule usije jidanganya ukamuendekeza eti kisa kavua gamba.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Jamani watu wengine hadi mnataka tuondoe kabisa maana ya fasihi?
   
 8. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nimekupata Mzee,ni sawa na msemo usemao mtoto wa nyoka ni nyoka, usimsogelee atakuuma pia.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  True ndio maana nimeshangaa wengine wanasema nimewabania..
   
Loading...