Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

Mara yangu ya kwnaza kumuona ndugu yangu Augustino Moshi akiandika namna hii yaani ni mzalendo mwafrika wa hali ya juu na aliyoandika kwenye reply yake ni sawa kabisa na vile vile hata mimi nimekaa sana Zimbabwe na ninafahamu vizuri sana system inavyofanya kazi na hatua za Mzee RObert MUgabe ni sawa kabisa ,hawa watu kwanini wang'ang'anie ardhi ambayo hawakuilipia hata cent moja?.JK kafanya kitu chaa maana kuonyesha mapenzi yetu kwa ndugu zetu watu wa Zimbabwe na kumbukeni hizo ni nyayo za mzee Kambarage anazozifuata JK ,sio kitu kigeni kwa mtanzania kuwa upande wa mwafrika mwenzake hatukuanza leo wala jana hatua kama hizo ,tuliupigania uhuru na damu ya mtanzania nayo ilimwagika katika nchi hiyo.
UHuru???...kazi ya chama
Willo

Mkuu bado msoga tu
 
CCM ipo kila kona ya nchi hii. Ni nyi endeleeni kujifariji
 
labda tabora, na moro baadhi ya wilaya., , nitafanya sherehe HILI LICHAMA CHAKAVU LITAKAPO LITAKAPO PELEKWA JALALANI , , , , LINANUKA ,,
 
Ngome za ccm utaziona 25oct na hapo ndo utajua zipo ngapi na wapi maana maidizo kwenu mengii lakini ushudu mwingi
 
Kwa Tathmini ya haraka mi nazani ngome yao kuu kwa sasa ni Lumumba ndani ya maofisi yao.....kwa hali ya Masasi,Lindi na Tanga pia Dodoma wiki zilizopita.......CCM sasa mbele kwa mbele kwenye kufungasha viraggo kwenda kusikojulikana.
 
Ina maana hujui kama kila mkoa ccm ni ngome ukianzia hapo ulipo uko kwenye ngoma ya ccm, kuishinda ccm si kazi rahisi kama ulivyooteshwa
 
Mimi nilichojifunza humu kimoja tu: somo la siasa libadilishiwe technics za kufundisha. Kuwe na vipindi vya kuigiza kama inavyofanyika kwenye masomo ya juu ili watu waelewa uhalisia wa siasa. Hivi akina Mawia na wenzake sasa nikawaombee tu ambulance ya kuwabeba maana hamtaweza kumudu matokeo na wengi mtaishia kupata total paralysis maana matarajio mmeyaweka juu mno kuliko uhalisia
 
Tatizo sio ngome wala umati shida ni wapiga kura wenye uhakika maana haya mambo hatuwezi sema wanaojitokeza kwenye mikutano ya ukawa ndo wapiga kura wa ukawa na zaid hata ccm inajaza kama ambavyo mnajaza baadhi ya maeneo
 
Ccm imekwisha kabisaaaaaa hawana sera kabisa tena,utaona barabara,viwanda,barabara,viwanda,,,,,,,,,ELIMU JE?,Na kama wanamaanisha kweli sera zao,kwanini iwe sasa hivi isiwe awamu zilizo pita?kama viwanda aliyeziua ni nani?,barabara tumetoka kutawaliwa miaka 54 huko nyuma walikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom