Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,351
- 22,954
Kwani unashangaa nini?kama akili yako iko sawasawa weka takwimu hapa za CCM na UKAWA nafasi walizopata nchi nzima ni kichekesho!
Viti vingi vya CCM vilikuwa vya mapingamizi, kwa hiyo usijivunie sana percentage