Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

Tatizo sio ngome wala umati shida ni wapiga kura wenye uhakika maana haya mambo hatuwezi sema wanaojitokeza kwenye mikutano ya ukawa ndo wapiga kura wa ukawa na zaid hata ccm inajaza kama ambavyo mnajaza baadhi ya maeneo

Hii dhambi ya ubaguzi na kutokuelewa itaendelea kuwatafuna mpaka waishe wamebaki kushindanisha vyama kwa wingi wa watu badala ya Sera, huku ni kufirisika na kupungukiwa uwezo wa kufikiri! Nani kawaambia uwepo wa idadi kubwa ya watu katika mkutano wa siasa inamaanisha wingi wa kura au idadi ya wanachama wa chama kilichoitisha mkutano? wameshindwa kuelewa kuwa watanzania bila kujali vyama vyao vya siasa wana haki ya kuhudhuria mkutano wa chama chochote? mtu anaenda kuomba kazi ya kuwa rais, kiongozi mkuu wa taifa afu watu wakijitokeza wengi mnashangaa na kurukaruka daaaa!!yaani mnashangaa watu wanaojitokeza kumsikiliza mtu anayeomba kazi ya urais?
 
Kwa Tathmini ya haraka mi nazani ngome yao kuu kwa sasa ni Lumumba ndani ya maofisi yao.....kwa hali ya Masasi,Lindi na Tanga pia Dodoma wiki zilizopita.......CCM sasa mbele kwa mbele kwenye kufungasha viraggo kwenda kusikojulikana.

Tathmini bora kabisa kuliko ile ya twaweza
 
...ngome ya ccm imebaki ofisi zao za lumumba tu, napo siku hizi hawaingii ndani ofisini wakatulia, kila muda macho yao yako nje tu.!
 
Mwaka huu ccm wanachomwa mishale ya mabadiliko kila kona
 
Nimetafakari sana ile mikoa ambayo CCM ilikuwa inavimbisha kichwa namna ilivyowageuka ukiwemo wa Tanga, je kwa hali hii naomba nijulishwe ngome zilizobaki za CCM ikiwemo Geita. Matusi ukipenda yanaruhusiwa hasa team Nape.

Mkuu Geita Lowassa atamchapa Magufuli asubui na mapema... Geita hawampendi magufuli kabisa
 
Mimi nilichojifunza humu kimoja tu: somo la siasa libadilishiwe technics za kufundisha. Kuwe na vipindi vya kuigiza kama inavyofanyika kwenye masomo ya juu ili watu waelewa uhalisia wa siasa. Hivi akina Mawia na wenzake sasa nikawaombee tu ambulance ya kuwabeba maana hamtaweza kumudu matokeo na wengi mtaishia kupata total paralysis maana matarajio mmeyaweka juu mno kuliko uhalisia

Sasa mtu unagombea halafu usiwe na Matarajio???!. Basi makubwa!!!?
 
Hii dhambi ya ubaguzi na kutokuelewa itaendelea kuwatafuna mpaka waishe wamebaki kushindanisha vyama kwa wingi wa watu badala ya Sera, huku ni kufirisika na kupungukiwa uwezo wa kufikiri! Nani kawaambia uwepo wa idadi kubwa ya watu katika mkutano wa siasa inamaanisha wingi wa kura au idadi ya wanachama wa chama kilichoitisha mkutano? wameshindwa kuelewa kuwa watanzania bila kujali vyama vyao vya siasa wana haki ya kuhudhuria mkutano wa chama chochote? mtu anaenda kuomba kazi ya kuwa rais, kiongozi mkuu wa taifa afu watu wakijitokeza wengi mnashangaa na kurukaruka daaaa!!yaani mnashangaa watu wanaojitokeza kumsikiliza mtu anayeomba kazi ya urais?

Kama ni sera akina Dimond wa nini???!,
 
Mkuu watu wa Tanga hawa mpendi Magufuli kabisa. Baada ya kutoka kwenye ule mkutano wake wa kampeni watu wa Tanga walisema huyu bwana hatatufaa kwa lolote. Yaani hilo sio jambo la kuuliza. Wanasema ni Bora hata CCM wange mchagua Mizengo Pinda kuliko huyo jamaa mwenye uso wa Mbwa. Nuksi tu.
 
Back
Top Bottom