Paddy JF-Expert Member Sep 22, 2010 462 304 Nov 2, 2010 #1 Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
payuka JF-Expert Member Jun 17, 2010 829 127 Nov 2, 2010 #2 Hawa jamaa walishaonyesha dalili za kucheza rafu tangu kwenye chaguzi zao za ndani, wao kwa wao walinyimana haki!
Hawa jamaa walishaonyesha dalili za kucheza rafu tangu kwenye chaguzi zao za ndani, wao kwa wao walinyimana haki!
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,174 Nov 2, 2010 #3 Mbona tulisikia Chadema imeshinda Sumbawanga Mjini............................What is happening now..................
Mbona tulisikia Chadema imeshinda Sumbawanga Mjini............................What is happening now..................
S Soda Member Nov 2, 2010 17 0 Nov 2, 2010 #4 CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana. CCM iko juu:smile:
CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana. CCM iko juu:smile: