Elections 2010 Ngome ya chadema rukwa imechakachuliwa yote...

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
457
293
Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
 
Hawa jamaa walishaonyesha dalili za kucheza rafu tangu kwenye chaguzi zao za ndani, wao kwa wao walinyimana haki!
 
Mbona tulisikia Chadema imeshinda Sumbawanga Mjini............................What is happening now..................
 
CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana.
CCM iko juu:smile:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom