Ng'ombe......!!!

Ng'ombe......!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Imagine unafuga ngo'mbe kama hawa halafu unabiashara ya barbecue [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1726713View attachment 1726715View attachment 1726712
IMG_20210315_211152.jpg
View attachment 1726714
 
Hawa ndio Boran Breed bana, Ng'ombe mwenye uzito wa nyati.

Ng'ombe sahihi wa nyama ila mpaka atengeneze nyama hivyo na uzito umegharamia haswa.
Hivo Hawa nchini wanapatikana kweli mkuu?
 
Sasa kwa mfano kama mtu mmoja anaweza kuhukumu Taifa zima adhabu ya kifo kwa kukataa watu wasipate chanjo ya Corona ili wafe na kila mtu akanyamaza kimya,hao siyo Ng'ombe?
Sawa, ila usisahau mkataba wenu na USA unavyowagharimu hadi mnakufa. Bado tu mnashangilia kwa vile mnapewa silaha. Huu siyo ung'ombe?
 
Back
Top Bottom