Ng'ombe wangu hataki kupandwa

Ng'ombe wangu hataki kupandwa

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi great thinkers Leo tangu asubuhi tunakurupushana na haka kajike ka ng'ombe hakataki kupandwa kanavunja miti tuliyoweka ili kapigwe dushelele.Tatizo nini?
 
Hi great thinkers Leo tangu asubuhi tunakurupushana na haka kajike ka ng'ombe hakataki kupandwa kanavunja miti tuliyoweka ili kapigwe dushelele.Tatizo nini?
Kwa lugha hii itakuwa ngumu kupata msaada, au mimi ndo niko jukwaa silo nini?
 
Wafungieni kwenye banda muwache wenyewe siku saba.Kama yupo tayari kupandwa atapandwa tu.
 
Kipanya 2.jpg
 
Msubiri aingie kwenye heat huyo kwa sasa hana n*ege. Jifunze dalili za ny*ge ndio umletee hawara yake. Wanyama kama hao ng'ombe wanafuata utaratibu. Hawako kibiashara kama wale wa kimboka
Njoo PM nikupe hints za kajike kako. Mtoe huyo hawara kwanza atampotezea stimu kabisaa
 
Back
Top Bottom