Ng'ombe wangu hataki kupandwa

Ng'ombe wangu hataki kupandwa

Msubiri aingie kwenye heat huyo kwa sasa hana n*ege. Jifunze dalili za ny*ge ndio umletee hawara yake. Wanyama kama hao ng'ombe wanafuata utaratibu. Hawako kibiashara kama wale wa kimboka
Njoo PM nikupe hints za kajike kako. Mtoe huyo hawara kwanza atampotezea stimu kabisaa
Hapo unaweza kushangaa watazamaji ndo wanapandisha nye.ge ila king'ombe chenyewe hata hakina habari
 
Itakuwa anaogopa kufanya ngono bila ya kinga jaribu kutumia dume alievaa condom atakubali mwenyewe uyo.
 
Nenda kwa mtaaramu wa mifugo. Anapigwa sindano ya kuingia katika Heat siku unayotaka na unafanya artificial insemination na kuchagua dume zuli, sio bora dume
 
Back
Top Bottom