Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,020
N'gombe maziwa wa kisasa 5 wanauzwa. Bei Tsh700,00/= mpaka Tsh.950,000/= Kwa anayehitaji tuwasiliane. Kilimo kwanza!
Majimoto, nashukuru kwa kukumbuka kuwa nawatafuta sana.Dr. Mbale (a.k.a Dr. Ernesto Che Guevara-II) anawatafuta muda mrefu sasa
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/68027-ngombe-bora-wa-maziwa.html
Majimoto, nashukuru kwa kukumbuka kuwa nawatafuta sana.
Nitawasiliana na huyu mdau. Niangalie tutaelewana naye vipi. Si unajua wabongo tukishaona mtu anahitaji kitu tunambamiza bei hata mara 3 ya bei halisi bila kujali ubora, wakati huo huo tunakuwa hatujui tunayembamiza anafahamu kwa undani kuhusu biashara hiyo (eg. mimi mwenyewe nimekulia kwenye familia ya wafugaji na nimechunga ng'ombe hadi nikiwa Form 4, ningeendelea kuchunga hadi nikiwa hata Form 6 lakini ng'ombe waliisha nikiwa nd'o naingia Form 5 na ng'ombe wa mwisho kabisa kuuzwa alikuwa ng'ombe wangu). So, nitawasiliana na huyu mdau nimsikilize. Thanks Majimoto.

Siajsikia sifa bado :confused2::confused2: