Kwa kifupi ni kwamba JPM hana msamaha na wasaliti. Wakirudi basi ila watakuwa hawana mikia! Huwezi kujua kwamba akina Msindai wanarudi kuja kuvuruga hivyo bora watambuliwe kwa kukosa mikia. Mzee wa watu kaomba msamaha hadharani lakini kumbe hana mkia.