Wana jamvi leo nimemsikia mkulu akisema wanaotaka kurudi tena kwenye kundi wanakaribishwa.Ila alimalizia kwa msemo wa kabla lao kwamba:"Ng'ombe hazuiwi kurudi kundini, ila akisharudi ngo'mbe wengine watamtambua tu kwamba amekatwa mkia..
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu huo msemo.Naomba na nyie bandugu mnisaidie mmemuelewa mkulu???
Karibuni.
Watajulikana tu kwamba ni wasaliti na hawatakuwa sawa na wenzao! Mpendazoe na Msindai hawana mikia!!! Mwapachu pia hana mkiaWana jamvi leo nimemsikia mkulu akisema wanaotaka kurudi tena kwenye kundi wanakaribishwa.Ila alimalizia kwa msemo wa kabla lao kwamba:"Ng'ombe hazuiwi kurudi kundini, ila akisharudi ngo'mbe wengine watamtambua tu kwamba amekatwa mkia..
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu huo msemo.Naomba na nyie bandugu mnisaidie mmemuelewa mkulu???
Karibuni.
Mimi nadhani kwa sababu wamekiri makosa yao wangehesabika tu kama ngo'mbe wengine wenye mikia.Watajulikana tu kwamba ni wasaliti na hawatakuwa sawa na wenzao! Mpendazoe na Msindai hawana mikia!!! Mwapachu pia hana mkia
Kwa kifupi ni kwamba JPM hana msamaha na wasaliti. Wakirudi basi ila watakuwa hawana mikia! Huwezi kujua kwamba akina Msindai wanarudi kuja kuvuruga hivyo bora watambuliwe kwa kukosa mikia. Mzee wa watu kaomba msamaha hadharani lakini kumbe hana mkia.Mimi nadhani kwa sababu wamekiri makosa yao wangehesabika tu kama ngo'mbe wengine wenye mikia.
Kwa hali hiyo mbona waliokuwa wamepanga kurudi wataogopa kurudi sasa
Mikia! Nilidhani Mikia ni Sisi Simba FC...kumbe hata Lumumba mikia ipo!Amewafananisha lumumba wote na mang'ombe yenye mikia na wanatumbulika kwa mikia yao, Nafikir hao mikia nusu ndo uvccm hahahaaa ndo nilivo elewa!!
Avumilie tu, na aendelee kula majani na kunywa maji ya kijani huenda baada ya muda mrefu mkia utaota.Kwa kifupi ni kwamba JPM hana msamaha na wasaliti. Wakirudi basi ila watakuwa hawana mikia! Huwezi kujua kwamba akina Msindai wanarudi kuja kuvuruga hivyo bora watambuliwe kwa kukosa mikia. Mzee wa watu kaomba msamaha hadharani lakini kumbe hana mkia.
Avatar yako inarudi bila mkia!!Avumilie tu, na aendelee kula majani na kunywa maji ya kijani huenda baada ya muda mrefu mkia utaota.
hahaha hata mim ni simba kindakindaki, ndiyo mkuu Lumumba kuna mikia vipanda na mizimaMikia! Nilidhani Mikia ni Sisi Simba FC...kumbe hata Lumumba mikia ipo!
Mimi sijawahi kuota hiyo mikia ya lumumbaAvatar yako inarudi bila mkia!!
Watajulikana tu kwamba ni wasaliti na hawatakuwa sawa na wenzao! Mpendazoe na Msindai hawana mikia!!! Mwapachu pia hana mkia
Amewafananisha lumumba wote na mang'ombe yenye mikia na wanatumbulika kwa mikia yao, Nafikir hao mikia nusu ndo uvccm hahahaaa ndo nilivo elewa!!
Masikini MOTOCHINI kidonda bado kibichi lakini hajioni kama amekatwa mkia