Gharama za nini kununua ng'ombe botswana?
acha upuuzi wewe,kwani hujui kama ni kodi zetu anatumia?Unampangia pa kununua? Kwni yeye gharama hajaziona? Mwacheni bwana, kila mtu ana uhuru kufanya apendalo.
Gharama za nini kununua ng'ombe botswana?
acha upuuzi wewe,kwani hujui kama ni kodi zetu anatumia?
Na ww avga upuuzi zawadi mtu asipewe au asitumie mshara wake kwa sababu kodi yako?acha upuuzi wewe,kwani hujui kama ni kodi zetu anatumia?
wewe hujui unachokisema kabisaaa,poleeee.Na ww avga upuuzi zawadi mtu asipewe au asitumie mshara wake kwa sababu kodi yako?
Aje na perfume au chupi?
Mao tse-tung alimtuma Chuo en-lai amuulize Nyerere Tz ijengewe reli ya TZ - Zambia au tuwape (tuzae na wanawake wa TZ)mbegu za kichina hapo 1968 akachagua TAZARA bado alirudi na zawadi hazikutangazwa wa awamu ya pili Stella Attous wa aqamu ya tatu bonge la dhahabu zote kodi zenu?
huo ni ufujaji wa pesa,mbona hapa bongo kuna ng'ombe kibaaaaao,tena zingine amezipiga chini kwenye baraza jipya!Jana tumetangaziwa hapa Botswana kuwa Ng'ombe 20 mali ya rais wa Jamuhuri ya Tanzania zitaondoka leo kuelekea Tanzania,Rais Kikwete alinunua NG'Ombe 10 alipokuja hapa mwezi wa tatu kushiriki sherehe ya miaka 50 ya chama tawala,ng'ombe wengine 10 alipewa zawadi na Rais Khama wa Botswana,imebidi taarifa itolewe kwenye vyombo vya habari ili wananchi waweze kuelewa nini kinaendelea kwenye tukio zima,Rais Khama ametoa maelezo yake kuwa ng'ombe wake aliotoa zawadi ni mali yake aliyoachiwa urithi na wazazi wake,tunafurahi sana kuona viongozi wetu wa africa wakiweka wazi mambo yote yanayowahusu ili kuondoa matatizo ya kutiliwa shaka
acha upuuzi wewe,kwani hujui kama ni kodi zetu anatumia?
hao n'gombe watasifirshwaje mpaka bongo??usikute ndege yetu ya rais ndio itafanya kazi hiyo
Jana tumetangaziwa hapa Botswana kuwa Ng'ombe 20 mali ya rais wa Jamuhuri ya Tanzania zitaondoka leo kuelekea Tanzania,Rais Kikwete alinunua NG'Ombe 10 alipokuja hapa mwezi wa tatu kushiriki sherehe ya miaka 50 ya chama tawala,ng'ombe wengine 10 alipewa zawadi na Rais Khama wa Botswana,imebidi taarifa itolewe kwenye vyombo vya habari ili wananchi waweze kuelewa nini kinaendelea kwenye tukio zima,Rais Khama ametoa maelezo yake kuwa ng'ombe wake aliotoa zawadi ni mali yake aliyoachiwa urithi na wazazi wake,tunafurahi sana kuona viongozi wetu wa africa wakiweka wazi mambo yote yanayowahusu ili kuondoa matatizo ya kutiliwa shaka